Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Kibaha anawatangazia wananchi wote kuuza viwanja vilivyopimwa kwa ajili ya Makazi na Biashara,pamoja na viwanja vingine vya huduma za kijamii.Viwanja vipo eneo la Frelimo, Kitalu ‘F’ Mlandizi vipo takribani kilomita 2.5 kutoka barabara ya Morogoro (Morogoro Road).Kuna jumla ya viwanja 219 vya matumizi mbalimbaliTANGAZO Kwa maelezo zaidi bofya hapa.docx