• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kibaha District Council
Kibaha District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
        • SP FINAL DRAFT
      • Mazingira na Usafishaji
      • Fedha na Biashara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maji
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Ufugaji wa Nyuki
      • Uchaguzi
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Maji
    • Afya
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uchumi na Mipango
      • Maadili
      • UKIMWI
      • Huduma za Jamii
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019

Thursday 22nd, April 2021
@Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Anawakumbusha Wananchi Kuwa Mwaka huu 2019 ni mwaka wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Katika Halmashauri yetu na Tanzania kwa Ujumla. Katika Halmashauri yetu Uchaguzi Utafanyika katika Vijiji 26 na Vitongoji 102 hivyo Wananchi Mnashauriwa Mjitokeze Kugombea na Kuchagua  Wenyeviti wa Vijiji na Vitongoji Muda Utakapowadia.

Sifa za Mgombea:

1.Awe Raia wa Tanzania

2. Awe na Umri wa Miaka 21 au Zaidi

3. Awe na Uwezo wa kusoma na kuandika Kiswahili au kiingereza

4. Awe na Kipato halali cha Kumuwezesha kimaisha 

5.Awe ni mkazi wa kawaida wa eneo la kitongoji

6.Awe ni mwanachama na amedhaminiwa na Chama cha Siasa

7. Awe hajawahi kupatikana na hatia kwa kosa la utovu wa nidhamu, uaminifu au kuhukumiwa 


Sifa za Mpiga Kura

1.Awe Raia wa Tanzania

2. Awe na Umri wa Miaka 18 au Zaidi

3. .Awe ni mkazi wa kawaida wa eneo la kitongoji

4. Awe amejiandikisha kwenye daftari la orodha ya wapiga kura

5. Awe hana ugonjwa wa akili uliothibitishwa na daktari anaetambulika na serikali .

Matangazo

  • Wadaiwa wa Viwanja kibaha June 15, 2020
  • WANAHITAJIKA MAFUNDI WA KAZI ZA UJENZI KWA MATUMIZI YA NJIA YA "FORCE ACCOUNT" January 05, 2021
  • Matokeo ya Kidato cha Sita Shule za Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha July 11, 2019
  • Kuhamia Mji Mdogo wa Mlandizi October 31, 2019
  • Angalia Vyote

Matukio mapya

  • Makala Atoa Wito kwa Kaya Maskini Kuibua Miradi ya Miundombinu

    April 19, 2021
  • Wananchi Wa Soga na Boko Mnemela Waipongeza Serikali kwa Kuwasogezea HUduma za Afya Karibu na Makazi

    April 09, 2021
  • Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Imetekeleza Agizo la kisheria la Kutoa Asilimia kumi ya Mapato ya Ndani kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana na watu Wenyenye Ulemavu

    February 11, 2021
  • Bajeti ya 2021/22yapitishwa kwa Kishindo na Baraza la Madiwani Kibaha

    January 22, 2021
  • Angalia Vyote

Video

Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa Kuzindua bunge
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TOVUTI YA MKOA WA PWANI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA AJIRA
  • TOVUTI YA WANANCHI
  • TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI
  • TOVUTI YA WIZARA YA AFYA
  • TOVUTI YA EWURA

Tovuti Zinazoshabihiana

  • TAMISEMI
  • MKOA WA PWANI
  • TANZANIA
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    KIBAHA DISTRICT COUNCIL

    Anwani ya Posta: P.O BOX 30153

    Simu ya Mezani: +255 23240224

    Simu: +255 0767520048

    Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM)
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.