MALENGO |
UTEKELEZAJI |
|
|
Kupima viwanja
|
Hadi kufikia 2015, jumla ya viwanja 5,541 vimepimwa katika eneo la Mamlaka ya Mji Mdogo Mlandizi. Zoezi la upimaji linaendelea.
|
Kutoa Hati Miliki za Ardhi
|
Hadi kufikia 2015, jumla ya Hati Miliki 3,050 zimetolewa kwa viwanja vilivyopimwa mamlaka ya Mji Mdogo Mlandizi. Zoezi linaendelea.
|
Kupima Mipaka ya Vijiji
|
Hadi kufikia 2015, jumla ya Vijiji 21 vimepimwa. Zoezi linaendelea.
|
Kujenga Masjala za Ardhi Wilayani na Vijijini
|
Hadi kufikia 2015, jumla ya Vijiji 9 ambavyo ni Mpiji Station, Kipangege, Soga, Kwala, Misufini, Dutumi, Minazi mikinda, na Lukenge vimejenga Ofisi Imara ambazo zinaweza kutumika kuifadhi nyaraka za Kumiliki Ardhi. Zoezi linaendelea katika maeneo mengine yaliyobaki.
|
KIBAHA DISTRICT COUNCIL
Anwani ya Posta: P.O BOX 30153
Simu ya Mezani: +255 23240224
Simu: +255 0767520048
Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz
Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.