• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kibaha District Council
Kibaha District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
        • SP FINAL DRAFT
      • Mazingira na Usafishaji
      • Fedha na Biashara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maji
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Ufugaji wa Nyuki
      • Uchaguzi
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Maji
    • Afya
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uchumi na Mipango
      • Maadili
      • UKIMWI
      • Huduma za Jamii
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Fedha na Biashara

 

Mujukumu ya Idara ya Fedha na Biashara

Kushauri Halmashauri juu ya masuala yote ya fedha.

Kuandaa bajeti ya mwaka ya mapato na matumizi kwa kushirikiana na Afisa mipango na wakuu wengine wa Idara.

Kutengeneza na kutunza mfumo bora wa kihasibu na utunzaji mzuri wa nyaraka mbalimbali za fedha.

Kuandaa taarifa za hali halisi ya mapato na matumizi kulingana na bajeti ya mwaka na kutoa mapendekezo juu ya kiwango kilichopo cha mapato na matumizi.

Kuandaa taarifa mbalimbali za fedha kwa ajili ya kuziwasilisha kwenye vikao vya waheshimiwa madiwani.

Kuhakikisha kunakuwepo na mfumo mzuri wa ndani wa usimamizi na uandishi wa nyaraka na taratibu zote za fedha.

Kuandaa na kuwasilisha taratibu zote za fedha kwenye kamati ya fedha na utawala ili iidhinishwe na kuzigawa kwa wakuu wote wa Idara.

Kusimamia mali zote za Halmashauri na masuala yote yanayohusu usimamizi wa fedha za Halmashauri,

Kusimamia ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri kama bajeti ilivyopitishwa.

Kuhakikisha kuwa hesabu za Halmashauri zinafungwa na kuwasilishwa kwa mkaguzi wa nje (NAO).

 

3.2: Mapato Kwa Kipindi cha Miaka Mitano 2010/11 Hadi 2014/15

Hali ya ukusanyaji wa mapato katika Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha kwa kipindi cha mwaka 2010/2011 hadi 2014/2015 ni kama ifuatavyo;

JEDWALI NA. 3: MAKISIO NA MAPATO HALISI 

Mwaka

Makiso

Halisi

Asilimia

2010/2011

8,908,536,196.45

8,521,287,175.34

95.7

2011/2012

12,285,893,490.80

7,897,856,661.20

64.2

2012/2013

15,795,484,546.04

12,204,235,952.50

77.26

2013/2014

12,818,766,900.00

13,090,484,088.64

108

2014/2015

22,595,394,348.55

16,595,724,192.50

75

Chanzo; Idara ya Fedha

Matangazo

  • Matokeo ya Darasa La Saba 2022 December 02, 2022
  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili June 28, 2022
  • KUITWA KWENYE MAFUNZO YA SENSA KIBAHA DC TAREHE 29-07-2022 July 27, 2022
  • Tangazo la nafasi za kazi May 27, 2022
  • Angalia Vyote

Matukio mapya

  • KUELEKEA MAADHIMISHO YA MAIKA 61 YA UHURU WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA WAMEOTESHA MITI KWENYE JENGO LA OFISI ZA HALMASHAURI

    December 07, 2022
  • WAZEE WA HALMSHAURI YA WILAYA YA KIBAHA WAMEISHUKURU SERIKALI KWA KUBORESHA HUDUMA ZA KIJAMII

    December 06, 2022
  • KUELEKEA KILELE CHA MIAKA 61 YA UHURU MKURUGENZI MTENDAJI PAMOJA NA MENEJIMENTI WAMESHIRIKI KUFANYA USAFI NA KUTOA MSAADA KWA WATOTO YATIMA

    December 06, 2022
  • NMB kanda ya Dar es salaama wamekabidhi Komputa Mbili kwa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

    November 03, 2022
  • Angalia Vyote

Video

Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa Kuzindua bunge
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TOVUTI YA MKOA WA PWANI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA AJIRA
  • TOVUTI YA WANANCHI
  • TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI
  • TOVUTI YA WIZARA YA AFYA
  • TOVUTI YA EWURA

Tovuti Zinazoshabihiana

  • TAMISEMI
  • MKOA WA PWANI
  • TANZANIA
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    KIBAHA DISTRICT COUNCIL

    Anwani ya Posta: P.O BOX 30153

    Simu ya Mezani: +255 23240224

    Simu: +255 0767520048

    Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM)
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.