• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kibaha District Council
Kibaha District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
        • SP FINAL DRAFT
      • Mazingira na Usafishaji
      • Fedha na Biashara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maji
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Ufugaji wa Nyuki
      • Uchaguzi
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Maji
    • Afya
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uchumi na Mipango
      • Maadili
      • UKIMWI
      • Huduma za Jamii
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Mifugo na Uvuvi

Majukumu ya Idara ya Mifugo na Uvuvi

  • Kubuni mipango ya uzalishaji mifugo.
  • Kuratibu mipango ya ugani kuhusiana na mifugo.
  • Kuratibu na kuendesha mafunzo ya ufugaji bora, usindikaji wa mazao ya mifugo kwa wataalu wa mifugo na wafugaji.
  • Kubuni, kuanzisha na kutekeleza miradi ya maendeleo ya mifugo.
  • Kutafiti maeneo mapya yanayofaa kwa ufugaji wa mifugo mbalimbali.
  • Kufanya utafiti juu ya uihalibifu wa mazingira.
  • Kushiriki katika shughuli za kudhibiti milipuko ya wanyama na viumbe waharibifu wa malisho.
  • Kuandaa taarifa ya robo, nusu na mwaka  juu ya maendeleo ya mifugo.
  • Kufuatilia, kuweka, kuchambua na kutafsiri takwimu za uzalishaji wa mifugo.
  • Kusimamia huduma zote za afya ya mifugo afya ya umma na wanyama.
  • Kuandaa mipango ya muda mfupi na mrefu ya kudhibiti na kutokomeza magonjwa ya wanyama.
  • Kukusanya, kuchambua, kuhifadhi, kusambaza na kutumia data za magonjwa ya mifugona taarifa nyingine.
  • Kuratibu matumizi ya maji ya mifugo na uhifadhi wa maeneo ya malisho na vyanzo vya maji.
  • Kuelimisha wafugaji juu ya matumizi bora ya nyanda za malisho.
  • Kusimamia utekelezaji wa sheria za nyanda za malisho na vyanzo uzalishaji wa vyakula vya mifugo.
  • Kuhamasisha utunzaji na uhifadhi wa nyanda za malisho kwa mbinu za asili.
  • Kuelimisha na kuhamasisha matumizi ya mabaki ya mazao na masalia ya mazao.
  • Kupunguza migogoro kati wafanya biashara wakubwa wa binadamu na wazalishaji wa vyakula vya mifugo.
  • Kusajili na kusimia sekta binafsi za mifugo.
  • Kuhamasisha sekta binafsi kuwekeza katika uzalishaji wa nyama na ngozi.
  • Kusimamia utekelezaji wa sheria ya mifugo na sheria ya ngozi.
  • Kuhamasisha uzalishaji, ukusanyaji na utunzaji na uuzaji wa ngozi bora.
  • Kuongeza thamani ya ngozi.
  • Kutoa mafunzo kwa wadau mbalimbali wa ngozi.
  • Kuhamasisha matumizi ya masoko bora ya mifugo.

Kutekeleza sera ya uvuvi.

Uhifadhi wa samaki na viumbe wengine wa majini na mazingira yao.

Kuratibu na kusimamia uhifadhi wa mazingira.

Kuendeleza uvunaji endelevu wa samaki na viumbe wengine wa baharini, maziwa, mito, mabwawa na malambo.

Kutoa ushauri wa kitaalam kuhusu uvuvi bora, utengenezaji na uhifadhi bora wa samakina mazao ya uvuvi, biashara na masoko ya samaki pamoja ufugaji wa samaki na viumbe wengine wa majini.

Kutoa leseni za uvuvi.

Kuendesha mafunzo ya taaluma ya uvuvi.

Kusimamia na kutekeleza sharia za uvuvi (k.m kuzuia uvuvi haramu).

Kusimamia ukusanyaji wa takwimu za uvuvi pamoja na maduhuli.

Kuratibu shughuli za utafiti wa uvuvi.

Kutoa ushauri na mafunzo kwa wananchi juu ta uendelezaji na matumizi enelevu ya rasilimali za uvuvi.

Kukagua ubora wa samaki na mazao ya uvuvi na kuweka viwango vya kitaifa.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 16, 2023
  • VITUO VYA KUFANYIA USAILI KUANZIA TAREHE 21.09.2023 September 18, 2023
  • TANGAZO LA KAZI May 25, 2023
  • Tangazo la Uuzaji wa Viwanja Lupunga June 22, 2021
  • Angalia Vyote

Matukio mapya

  • Wanakikundi cha Wisdom Wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa Kuwawezesha Kupata Mkopo kwa Ajili ya Ufugaji wa Samaki

    August 02, 2023
  • Walemavu Group Waishukuru Serikali ya Awamu ya Sita kwa Kuwawezesha Kiuchum

    August 03, 2023
  • Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Mohamed Mchengerwa Ametembelea Banda la Halmashauri ya Wilaya ya kibaha lililopo Nane nane Kanda ya Mashariki

    August 04, 2023
  • KAMATI YA UCHUMI YAIPONGEZA SERIKALI KWA KUSOGEZA HUDUMA KARIBU NA WANANCHI

    July 26, 2023
  • Angalia Vyote

Video

Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa Kuzindua bunge
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TOVUTI YA MKOA WA PWANI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA AJIRA
  • TOVUTI YA WANANCHI
  • TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI
  • TOVUTI YA WIZARA YA AFYA
  • TOVUTI YA EWURA

Tovuti Zinazoshabihiana

  • TAMISEMI
  • MKOA WA PWANI
  • TANZANIA
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    KIBAHA DISTRICT COUNCIL

    Anwani ya Posta: P.O BOX 30153

    Simu ya Mezani: +255 23240224

    Simu: +255 0767520048

    Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM)
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.