- Mwanzo
- Kuhusu sisi
-
Utawala
- Muundo wa Taasisi
-
Idara
- Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
- Divisheni ya Mipango na Uratibu
- Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
- Divisheni ya Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
- Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasmali Watu
- Divisheni ya Maendeleo ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
- Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
- Divisheni ya Elimu Sekondari
- Divisheni ya Miundombinu, Maendeleo ya Mijini na Vijijini
- Vitengo
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Akizungumza wakati wa kikao hicho, Bieda amesema maudhui ya kikao yanaonyesha uzito na umuhimu wake kwa wananchi, kwa kuwa suala la kuzuia vifo vya mama na mtoto ni nyeti na linagusa moja kwa moja ustawi wa jamii.
Ameongeza kuwa kikao hicho kitakuwa msingi wa utekelezaji wa majukumu ya kila siku kwa wataalam hao.
Kwa upande wake, Mganga Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Dkt. Kusirye Wkio, amesema lengo la kikao hicho ni kuweka mikakati madhubuti ya kudhibiti vifo vinavyoweza kuzuilika kwa kuboresha utoaji wa huduma za afya katika ngazi zote za vituo vya kutolea huduma.
Aidha, vifo vya watoto wachanga (wenye umri wa siku 0 hadi 28) vimepungua kutoka 45 hadi 37 katika kipindi hicho, jambo linaloashiria hatua chanya katika kuboresha huduma za afya ya mama na mtoto.