Posted on: May 17th, 2023
Mwenge wa Uhuru umeweka jiwe la Msingi katika mradi wa Maji wa Ruvu Stesheni ambao uliibuliwa na wananchi baada ya mradi wa awali kutokidhi mahitaji ya sasa.
Mradi huo ambao unatarajia kukamilika J...
Posted on: January 27th, 2023
Kamati ya siasa ya Halmashauri ya wilaya ya Kibaha imefanya ziara ya kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa ndani ya Halmashauri.
Miradi iliyokaguliwa na kamati hiyo ni pamoja na mradi wa...
Posted on: November 23rd, 2022
Halmashauri ya wilaya ya Kibaha inaendesha kampeni ya siku 7 ya utoaji wa chanjo ya Uviko-19 kwa watu wote wenye umri kuanzia miaka 18 na kuendelea iliyoanza tarehe 25/11/2022 hadi t...